Jana siku ya Jpili ya tarehe 13 Septemba huko Marekani katika ukumbi wa muziki wa Radio City uliopo New York City zilifanyika sherehe za kuwatunukia tuzo wasanii bora wa Video. Tuzo hizo zilienda kwa wasanii wafuatao;
VIDEO OF THE YEAR
Beyoncé "Single Ladies (Put A Ring On It)"
BEST NEW ARTIST
Lady Gaga "Poker Face"
BEST HIP-HOP VIDEO
Eminem "We Made You"
BEST MALE VIDEO
T.I. f/ Rihanna "Live Your Life"
BEST POP VIDEO
Britney Spears "Womanizer"
BEST ROCK VIDEO
Green Day "21 Guns"
BEST FEMALE VIDEO
Taylor Swift "You Belong With Me
BEST VIDEO(That Should Have Won A Moonman)
Beastie Boys "Sabotage"
BREAKTHROUGH VIDEO
Matt And Kim "Lessons Learned"
BEST ART DIRECTION
Lady Gaga "Paparazzi"
BEST CHOREOGRAPHY
Beyoncé "Single Ladies (Put A Ring On It)"
BEST CINEMATOGRAPHY
Green Day "21 Guns"
BEST DIRECTION
Green Day "21 Guns"
BEST EDITING
Beyoncé "Single Ladies (Put A Ring On It)"
BEST SPECIAL EFFECTS
Lady Gaga "Paparazzi"
Endelea kuwa nami siku ya leo ili uweze kupata zaidi yaliyojiri katika tukio hilo la kukata na shoka lililojaa mbwembwe kibao za mastaa wa hukoooo mbele!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment