Tuesday, September 29, 2009

MCHEKI MILLEY CYRUS........... MWANAMUZIKI!

Milley Cyrus ni mmoja wa mastaa 10 ambao wanatambulika na MTV kama the most famous artists hukooo Marekani. Hebu hapa mcheki akiwa katika matukio mbalimbali..... Yupo sexy mbaya afu ni bado mchanga kabisa akiwa na umri usiozidi miaka 18...... Nambie hapo!







No comments:

Post a Comment