
Lil'Wayne akiwa na Muigizaji Taraji Henson katika utoaji tuzo za muziki za 2009 BET AWARDS huko LA,California tarehe 28 June 2009.

Lil'Wayne akiwa kaweka pozi matata, sijui kapata wida au ndo alivyo?

Lil'Wayne akipafomu sambamba na Young Jeezy katika tour iliyojulikana kama America's Most Wanted Stop huko Cincinnati.

No comments:
Post a Comment