Kila mwaka huko Marekani hufanyika tuzo za muziki zijulikanazo kama MTV VIDEO MUSIC AWARDS. Mwaka huu,tuzo hizo zinatarajia kufanyika tarehe 13 September 2009 katika ukumbi wa RADIO CITY MUSIC HALL huko New York City.
Leo nakuletea baadhi ya matukio na picha mbali mbali zilizochukuliwa katika ukumbi huo utakaotumika siku hiyo inayosubiriwa kwa hamu sana na mashabiki wa muziki duniani. Tuzo hizo zitaambatana na performance za wanamuziki mbalimbali wakiwemo Jay Z na mai Waifu wake Beyonce,Lady Gaga,Pink,Eminem,Jenifer Lopez,50 Cent, Shakira na Ne-Yo.
Picha 1: Jay Z akishuka kwenye gari yake na kuelekea ndani ya ukumbi wa Radio City Music Hall huku akiongea na simu..... Cjui anaongea na nani, inawezekana anapanga appointment na kazi za nje!
Picha 2: Ukumbi wa Radio City Music Hall unavyoonekana kwa nje, Ukumbi unaotegemea kupendezeshwa na mastaa kibao siku ya tarehe 13 Septemba 2009.
Picha 3: Main Stage ya ukumbi wa Radio City Music Hall ambao utapambwa na performance za wanamuziki wakali.
Picha 4: Siku hiyo kila staa atakuwa na seat yake ambayo tayari imeshaandaliwa na picha ya kila mtu juu ya seat yake,kama zinavyoonekana seat za Eminem na 50 Cent ambao watakaa karibu.
Picha 5: Ukumbi wa Radio City Music City unavyoonekana kwa ndani ikiwa ni siku chache kabla ya utoaji wa tuzo hizo.
Picha 6: Solange Knowles akiingia katika ukumbi wa Radio City Music Hall kuangalia sehemu ambayo dadake Beyonce atafanya mambo. Kulikuwa na tetesi kuwa huyo duu anakamatwa na mtabe wa muziki wa hip hop Lil'Wayne.... Cjui kweli au zimeishia wapi,nambie basi!
Nafikiri umeshaona ni namna gani utoaji wa hizo tuzo utakavyofana.... Its up to U to decide now whether to participate or not but on my side I will be there na seat yangu ipo nyuma ya Jay Z na Beyonce...... Msihofu nikirudi nitawasimulia kilichotokea kule.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
kijana wangu mwandishi uende wapi ndugu kushuhudia hizo tuzo kama hapa bongo tu hujawahi kwenda hata kempisk ninapopita kila ck cjui labda cse kuna technologia nyingi u can go have a good journey mpe hi mchizi wangu kitambo p.diddy mporipori
ReplyDeleteshauri yako,mimi kesho nachomoka na ndege ya saa 12 asubuhi kupitia Amsterdam,Uholanzi.
ReplyDelete