Thursday, September 10, 2009

LEO TENA...... WALE MABINGWA WA SOKA TZ!


Jamani.... jamani sijui niseme nini lakini ukweli ni kwamba leo wale mabingwa wa soka Tanzania wa mwaka huu SIMBA SPORTS CLUB wanaingia uwanjani kunyakua zile pointi 3 kupitia mgongo wa wakata miwa wa KAGERA a.k.a KAGERA SUGAR SC. Kagera Sugar ni moja ya timu ambazo huwa zinaipa Simba SC wakati mugumu mara nyingi zinapocheza pamoja lakini kwa leo hilo halina ubishi kwamba Kagera Sugar SC wanaenda kuupoteza mchezo. Hiyo sio kwa sababu Kagera hawajui mpira au wana kiwango kidogo bali ni kwa sababu SIMBA ya mwaka huu ni next level katika Soka. Miminaongea tu lakini yote 9, kumi tusubiri muda utakapofika na dakika 90 kumalizika........!

No comments:

Post a Comment