
Kwa nchi kama tanzania ni kitendo cha kawaida kwa shabiki au mwanamuziki mwingine kupanda stejini na kuungana na mwanamuziki wakati akipafomu lakini kwa nchi za wenzetu si hivyo. Lil'Mama amelaumiwa na watu mbalimbali kwa kitendo chake hicho cha kujiunga na wasanii hao na kuanza kucheza nao bila makubaliano. Wengi wamelaumu kwa kigezo kuwa hawakupanga pamoja na hivyo kufananisha kitendo hicho na kitendo alichofanya Kanye west siku hiyo.
Wanaendelea kusema kuwa kama ilikuwa ni kupandwa na mzuka basi akifanya hivyo kwa kucheza chini ya steji na sio kwa kupanda stejini na kuingilia mipangilio ya shoo hiyo.
afu dogo unasema west amefanya fresh sa mbona wanazidi kumuhusisha na vitendo svyovya mastaa wenzake
ReplyDelete