Monday, September 14, 2009

KANYE WEST ATIA AIBU..... RADIO CITY MUSIC HALL!

Katika hali ya kushangaza katika sherehe za kuwatunukia tuzo wasanii bora wa video, Kanye west alisimama na kuponda uamuzi wa kutangazwa Taylor Swift kama Best Female Video na wimbo wake wa "You belong with me". Kanye West alipanda stejini na kumnyang'anya mic Taylor na kumwambia kuwa hakustahili kupewa tuzo hiyo na badala yake alistahili kupewa Beyonce na wimbo wake wa "Single ladies".

Picha hapo juu Kanye West akimshushua Taylor Swift mara baada ya kumnyang'anya mic.

Hata hivyo baadae Kanye alitolewa nje ya ukumbi na baada tu ya kutoka alituma massage kwenye blog yake kuwaomba msamaha watu wote aliowakosea kutokana na tukio hilo hasa Taylor Swift mwenyewe. Maneno hayo yanasomeka kama ifuatavyo,

"I'm sooooo sorry to Taylor Swift and her fans and her mom,I spoke to her mother right after and she said the same thing my mother would've said. She is very talented! I like the lyrics about being a cheerleader and she's in the bleachers! I'm in the wrong for going on stage and taking away from her moment! "Beyoncé's video was the best of this decade!!!! I'm sorry to my fans if I let you guys down!!!! I'm sorry to my friends at MTV. I will apologize to Taylor 2mrw. Welcome to the real world!!!! Everybody wanna booooo me but I'm a fan of real pop culture!!! No disrespect but we watchin' the show at the crib right now cause ... well you know!!!! I'm still happy for Taylor!!!! Boooyaaawwww!!!! You are very very talented!!! I gave my awards to Outkast when they deserved it over me ... That's what it is!!!!!!! I'm not crazy y'all, i'm just real. Sorry for that!!! I really feel bad for Taylor and I'm sincerely sorry!!! Much respect!!!!!"

Kanye West akitoka nje ya ukumbi baada ya kumshushua Taylor Swift huku akiwa kaongozana na demu wake aitwaye Amber Rose.


Taylor Swift ni mwanamuziki mwenye umri mdogo wa miaka 19 ambae amejipatia umaarufu mkubwa nchini Marekani mpaka kujikuta akiingia kwenye list ya the best 10 famous artists wa MTV. Kwa maelezo zaidi kuhusu Taylor Swift soma matoleo yangu yaliyopita katika kipengele cha the best famous artist.

No comments:

Post a Comment