Mwimbaji maarufu duniani CHRIS BROWN,
ambae siku za hivi karibuni amehukumiwa kifungo
cha nje anatarajia kutoka na SOULJA BOY katika
wimbo ambao unatarajiwa kubamba vilivyo.
Akizungumzia kuhusu wimbo huo Soulja Boy
anasema aliitwa na Chris Brown na kuambiwa
"Man, I want u to get on this song", Akiendelea
kusisitza kuhusu wimbo huo alisema "We worked together and we did a song that I think a lot of
people gon'like, Its a smash record.........". vile vile kuna wimbo mwingine ambao unaandaliwa na Soulja Boy ambao anatarajia kumshirikisha Chris Brown,wimbo huo unnatarajia
kutolewa mwezi Desemba mwaka huu.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment