Tuesday, September 29, 2009

DUH...... POLENI SANA KWA KUWATOSA!

Kwa siku kadhaa nilikuwa cjawapa chochote cha kuwafurahisha au kuwahabarisha kama ilivyo kawaida yangu. Sio kama nimewatosa au labda nimefulia aaaaaagh ila tu ni mambo mbalimbali yaliyo nje ya uwezo wangu ndo yaliyonifanya niwe kimya. Ila msijali mudawote nawawaza ninyi ili kuwapa ile ki2 roho inataka na muendelee kuniona wa muhimu kwenu au sio...... Basi pamoja 2uendeleze game!

2 comments:

  1. ACHA LONGOLONGO WE TUPE MADUDE TU1`

    ReplyDelete
  2. USIJALI, HILO NI JUKUMU LANGU KUWAPA MADUDE MUDA WOWOTE...........POLE SANA!

    ReplyDelete