Friday, September 25, 2009

FUNUNU: RIHANNA NA JUSTIN TIMBERLAKE MMMH....!

Kuna fununu kuwa mwanamuziki wa kike Rihanna ambae aliacha na mpenzi wake wa zamani Chris Brown Mwezi februari mwaka huu ameanzisha uhusiano mpya na mwanamuziki na mwigizaji maarufu Justin Timberlake hivi karibuni. Habari za ndani zinaeleza kuwa mapenzi hayo yalianza baada ya kijana huyo kudatishwa na uchezaji muziki wa mwanadada huyo pale walipokutana kwenye club ya 40/40 jijini New York wiki iliyopita wakati Rihanna alipokwenda Club na shati jeupe la Baba yake.
Hata hivyo habari hizo bado hazijawa confirmed kivilee kwa sababu ndo kwanza mambo yenyewe yanaanza hata hayajachanganyie kivile ingawa baada ya kutoka club siku ile wameonekana tena mara kadhaa wakiwa pamoja. Hiyo inaamaanisha kuwa possibility ya mdada huyo kurudiana na mpenzi wake wa zamani Chris Brown ipo hatiani. All in all, Stay tuned kwa mahabari zaidi kuhusu uhusiano huo mpya ambao unatarajiwa kuwa matata kupita kiasi hapahapa.........!

No comments:

Post a Comment