Friday, September 25, 2009

SPICE GIRLS WARUDI TENA.

Lile kundi maarufu la muziki lililokuwa likijulikana kama SPICE GIRLS huenda likarudi tena kwenye game. Kundi hilo limewahi kutamba na vibao mahiri kama VIVA FOREVER na vingine vingi. Kundi hilo ambalo mmoja wa wanamuziki wake aitwaye VICTORIA ni mke wa mwanasoka maarufu huko Uingereza David Beckham. Kundi hilo linategemewa kuwa mmojawapo ya waimbaji katika ufunguzi wa mashindano ya kombe la dunia huko Afrika Kusini mwaka 2010.
Hata hivyo mpaka wakati huu, Victoria Beckham hana taarifa na kurudiana kwa wanamuziki hao na kuanza kufanya shughuli za kimuzuki pamoja na hivyo kuwa na uwezekano wa yeye kutokuwepo kwenye muungano huo mpya ambao utakwenda kwa jina lilelile la SPICE GIRLS.

Tungoje tuone basiii................!

No comments:

Post a Comment