Majungu hayana asili sio Afrika esp. Tanzania bali hata huko mbele mbele wenyewe wanaita unyamwezini yapo tena sana..... Cjui inawezekana ni mtazamo wangu tu. Hebu cheki picha hizo afu nambie kama kweli hawa mastaa ndo the worst dressed stars at the 2009 MTV Music Awards?
PEREZ HILTON
JENIFER LOPEZ
PINK
ASHLEY GREENE
MEGAN FOX
AMBER ROSE
HOLLY MONTAG
CHRISTEN STERWAT - KATIKATI
NICKY HILTON
LO-BOSWORTH
Jamani hizi taarifa sio zangu bali ni kwa mujibu wa mtandao wa www.thefablife.com, sasa eti nambieni ni kweli wamevaa vibaya au mbwembwe na majungu tu ya mwandishi na kwa kuthibitisha hilo ntakutumia picha za mastaa waliopendeza zaidi uone kama kweli au masihara......... Keep in touch upate zaidi!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment