Wednesday, September 16, 2009

KIBIBI CHA MIAKA 107 KINATAFUTA MME WA 23...!

Hebu ipitie hiyo habari upate uhondo lakini kwa wenzangu na mimi msiokijua hicho kilugha cha huko kwetu mtanigongea kwenye e-mail yangu ili niwatumie tafsiri ya kilichoandikwa. Si unajua tena sisi tuliosoma enzi za mwalimu,tulisomeshwa bure ili tuje kuwasaidia watu kama nyie au sio?
Cheki hiyo;

107-YEAR-OLD MALAYSIAN WOMAN SEEKS 23rd HUBBY
A 107-year-old Malaysian woman says she is ready to marry for the 23rd time because she fears her current drug addict husband might leave her for a younger woman, a report said Monday.

Wook Kundor made headlines four years ago when she married Muhammad Noor Che Musa, a man 70 years her junior in northern Terengganu state, with pictures of the couple's wedding splashed across regional newspapers.

But Wook is now looking for new love as she fears that Muhammad, 37, who is undergoing voluntary drug rehabilitation treatment in the capital Kuala Lumpur, will leave her once the programme ends, she told the Star newspaper.

"Lately, there is this kind of insecurity in me," the paper quoted her as saying, showing a photograph of the smiling, wrinkled-faced centenarian wearing a Muslim headscarf.

"I realise that I am an aged woman. I don't have the body nor am I a young woman who can attract anyone."

"My intention to remarry is to fill my forlornness and nothing more than that," she said, adding that she felt lonely without her husband by her side to celebrate the coming Muslim festival of Eid al-Fitr next week.

Wook said she planned to visit Muhammad on the second day of Eid if her neighbours were willing to drive her to the capital.

Muhammad, who was a lodger in Wook's house, had previously said it was "God's will" that the couple fell in love.

Jamani ebu tuacheni utani, Kama unaona unakiweza kitafute au nambie nikutumie contact zake ili ucheki nae na mfanye mipango ya harusi najua utakipenda na ukiwa tayari kipo tayari kukutumia CV yake kuhusu malividavi na course mbalimbali za malavidavi alizozipata huko INDIA.

2 comments:

  1. huyo mbona dunia kashamchumbia

    ReplyDelete
  2. Tulia wewe,kashamchumbia wapi wakati wewe bado unapiga misele? Au unataka kumsaliti mshikaji wako wa karibu Dunia..............!

    ReplyDelete