Thursday, September 10, 2009

Jay Z: My Wedding offended People.


Bingwa wa Rap Marekani Jay Z akiwa katulia na mai waifu wake Beyonce...... Duh natamani ile nafasi aliyokaa Jay Z niwe nimekaa mimi!

Jay Z amenukuliwa akisema kuwa ile sherehe ya harusi kati yake na mwanamuziki maarufu wa kike Beyonce iliyofanyika mwaka jana iliwakosea baadhi ya watu. Hiyo ni kwa sababu ilichelewa kuandaliwa na hivyo kukosa muda wa kuwaalika baadhi ya watu ambao ilibidi wahudhurie.

No comments:

Post a Comment