Monday, August 31, 2009

JAMANI NISHAURINI!

Tokea nilipopata wazo la kuanzisha hii blog,akili zinagongana gongana na sielewi ipi iwe mission haswaaaa ya hii blog. Mara nyingi nimekuwa nikiwaza kuifanya iwe ya music, wakati mwingine akili inanambia iwe ya luv stories,wakati mwingine iwe ya michezo in general na wakati mwingine ya kisiasa. Washikaji zangu nambieni basi,niifanye ya nini haswaaaaaaaaa!Au nyie mnaona niwe nachanganya habari? Lolote linawezekana, ukiona una ushauri au swali ili nikufafanulie dont hesitate just call or sms me through 0715-107140 or email me through marklees19@yahoo.com. Nategemea mtanielewa na kunisaidia kwa hilo ili tuweze kuiboresha zaid site ye2 iwe ya kuvutia zaidi au mnaonaje?Please dont take it for granted.....................!

1 comment:

  1. well done ma dear frnd we need more inovation
    mi naona iwe ina comprise v2 km mambo ya burudan si unajua burudan ina uwanja mpana kwahiyo ukiingiza v2 vyote ambavyo vinakutatiza itakuwa okey kwa upande wangu bila ya kusahau soccer

    ReplyDelete