Eti umesikia hiyo kuwa mshikaji we2
AY amekuwa nominated kwenye MTV AFRICA MUSIC AWARDS kama
Best Hip Hop Artist na mwanadada
SHAA nae amekuwa nominated kama
Best New Act? Kama haujasikia, basi habari ndo hiyo..........! Kwa hiyo ili kuwafanya kuwa washindi wacheki kwenye website ya MTV au unataka nikuambie inaitwaje........... ok, km vp wapigie kura kwenye
http://mama.mtvbase.com/ na tena piga kura mara nyingi kadri unavyoweza,am sure watashinda au co wadau wangu!

Dont 4get 2watoe ndugu ze2 kimasomaso.......!
No comments:
Post a Comment