Monday, August 31, 2009

JAMANI NISHAURINI!

Tokea nilipopata wazo la kuanzisha hii blog,akili zinagongana gongana na sielewi ipi iwe mission haswaaaa ya hii blog. Mara nyingi nimekuwa nikiwaza kuifanya iwe ya music, wakati mwingine akili inanambia iwe ya luv stories,wakati mwingine iwe ya michezo in general na wakati mwingine ya kisiasa. Washikaji zangu nambieni basi,niifanye ya nini haswaaaaaaaaa!Au nyie mnaona niwe nachanganya habari? Lolote linawezekana, ukiona una ushauri au swali ili nikufafanulie dont hesitate just call or sms me through 0715-107140 or email me through marklees19@yahoo.com. Nategemea mtanielewa na kunisaidia kwa hilo ili tuweze kuiboresha zaid site ye2 iwe ya kuvutia zaidi au mnaonaje?Please dont take it for granted.....................!

NAMBIE NA HILO JUMBA?


Ebu vuta picha upo na my wife wako,
watoto wawili, houseboy, house girl na
walinzi wa ukweli! I hope ungeenjoy sana!
Never give up but keep on struggling may be
one day Sir GOD atakupa maeneo ya nje kidogo
ya jiji la LONDON. Km hauipendi UK kwa kuishi,sio
mbaya hata ikawa New York city. This is because u can be close to Hasheem
Thabeet ili cku moja moja awe anakuja na demu
wake kupumzika hapo na kuwapa michongo ya NBA, najua ungeenjoy sana kuwa na maisha kama hayo but dont worry hata hayo uliyonayo ni tosha sana because they mek u haapy everytym............. Just enjoy ur tym dude!

JAMANI 2WAPIGIE KURA.....!

Eti umesikia hiyo kuwa mshikaji we2 AY amekuwa nominated kwenye MTV AFRICA MUSIC AWARDS kama Best Hip Hop Artist na mwanadada SHAA nae amekuwa nominated kama Best New Act? Kama haujasikia, basi habari ndo hiyo..........! Kwa hiyo ili kuwafanya kuwa washindi wacheki kwenye website ya MTV au unataka nikuambie inaitwaje........... ok, km vp wapigie kura kwenye http://mama.mtvbase.com/ na tena piga kura mara nyingi kadri unavyoweza,am sure watashinda au co wadau wangu!



Dont 4get 2watoe ndugu ze2 kimasomaso.......!